| App ya ajira |
| App ya ajira |
Waandishi wa blog za kilimo nafasi 5
Waandishi wa blog za mapenzi nafasi 5
Waandishi wa blog za ufugaji nafasi 5
Waandishi wa blog za kuripoti nafasi za kazi na kushauri masuala ya maisha nafasi 5
Kutuma maombi andika makala ya mfano isiyopungua maneno 500 kisha itume kwenda mkuublog@gmail.com hakikisha makala hiyo haijawekwa kwenye mtandao wowote yaani umeitunga wewe mwenyewe na sio kukopi.
Malipo
Unalipwa kwa idadi ya wanaosoma blog yako, mfano blog ikisomwa mara 100,000 kwa mwezi unalipwa Tsh 200000 Hakuna kikomo hata blog ikisomwa mara milioni kwa mwezi unalipwa milioni mbili.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Sponsored Apps: Je unahitaji kuwa na uelewa juu ya masuala ya mapenzi na mahusiano? Pakua app ya mapenzi toka play store bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=app.yamapenzi2
https://play.google.com/store/apps/details?id=app.yamapenzi2
Jifunze mapenzi na mahusiano uwe na familia bora.
0 comments: